Kuhusu tovuti hii

Tovuti ya Lerni [www.lerni.net.au] ni mwongozo ya habari mbalimbali za kwenye mtandao za watoaji wa ACE (Elimu ya Jamii ya Watu wazima) inayofanya kazi na jamii mpya Australia pote

Tovuti ilizinduliwa wakati wa wiki ya masomo ya watu wazima mwezi wa tisa 2010

Lerni ni neno la Kiesperanto lenye maana ya kusoma.

Tovuti inatoa:

  • Habari za matangazo muhimu kwa kwa masomo ya atu wazima kupitia HTML, video na nyaraka za kwenye mtandao
  • Lugha zinajumuisha Kiingereza, na lugha za muhimu za jamii mpya kutoka Africa, Asia ya Kati na Asia ya Kusini Mashariki
  • Vitabu vya mazoezi vya masomo mbalimbali ya mwanzo ya kompyuta vitakuwepo kwenye mtandoa kama vitu vya kufundishia kwa watoaji wa ACE
  • Listi ya mlolongo wa vitendea kazi katika mikoa yote, ikijumuisha miongozo yao, watoaji wakubwa wa ACE and mashirika yanayosaidia

Mradi huu umefadhiliwa na Umoja wa madola kupitia Wizara ya Elimu, Ajira na Uhusiano kazini na tovuti imeandaliwa na kutunzwa na Vicnet-Maktaba ya Mkoa wa Victoria. Msaada wa pekee kwa mradi huu umetolewa na AMES.