New South Wales

Toleo la PDF la ukurasa huu (9kb)

NSW

Kozi na watoaji wake

Vyuo vya jamii

Vyuo vya jamii nchini Australia vina mwongozo kamili wa vyuo vya jamii katika NSW.

National Art School

Inatoa kozo fupi katika sanaa ya maonyesho.

Nyumba za Ujirani mwema na vituo vya kujifunzia vya jamii

Umoja wa huduma za jamii za mahali unatoa mwongozo wa vituo vya nyumba za ujirani mwema katika NSW.

NSW AMES

Ni shirika la serikali ya NSW, AMES inatoa kozi za lugha ya Kiingereza kwa wahamiaji , wakimbizi na wanafunzi binafsi.

TAFE NSW

Habari kuhusu kozi za TAFE katika NSW.

Mambo megine ya kujifunzia ya jamii

Umoja wa elimu ya watu wazima ya kusoma na kuandika ya NSW

Shirika mama la wataalamu linalowakilisha walimu, wafanyakazi na wapenzi wengine katika mkondo wa elimu ya watu wazima ya kusoma na kuandika katika NSW.

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya NSW

Kituo cha watu wazima na elimu ya jamii kinatangaza elimu ya jamii, kuunga mkono vyuo vya jamii vinavyofadhiliwa na kushauri juu ya elimu ya jamii katika NSW.

Vituo vya habari kwa wahamiaji

Kituo cha watafuta uhamiaji

Huduma ya wote ya Auburn

Kituo cha habari kwa wahamiaji cha Fairfield

Huduma za tamaduni za Illawarra

Kituo cha habari kwa wahamiaji cha Liverpool

Huduma kwa wote Macarthur

Kituo cha habari za wahamiaji cha mjini

MigrantLINK

Huduma za makazi za Kaskazini

Kituo cha habari kwa wahamiaji cha St George

Huduma za jamii za tamaduni za Sydney

Huduma za tamaduni za SydWest

Kituo cha Habari za Wahamiaji cha The Hills Holroyd Parramatta