Northern Territory
Toleo la PDF la ukurasa huu (6kb)
Kozi na watoaji wake
Mashirika ya Mafunzo yaliyoandikishwa
Orodha ya mashirika ya mafunzo yaliyoandikishwa yanayofanya kazi katika NT.
http://www.apprenticeships.nt.gov.au/nt_rtos.asp
Chuo kikuu cha Charles Darwin
Chuo kikuu kinachotoa mafunzo ya kazi katika Northern Territory. Pie kinatoa kozi fupi.
Chuo cha Batchelor kwa elimu ya juu ya wazawa
Inatoa nafasi ya kusoma kwa wazawa na wazawa mchanganyiko katika kozi mbalimbali zinazolenga kuwasaidia kupata ujuzi na elimu inayotakiwa kutafuta kazi na kusaidia kuendeleza jamii zao.
Vitu vingine vya kujifunzia vya jamii
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Northern Territory
Habari kuhusu wiki ya shughuli mbalimbali za mafunzo kwa watu wazima katika NT.
http://www.det.nt.gov.au/events/educationweek/alw