Queensland

Toleo la PDF la ukurasa huu (9kb)

QLD

Kozi na watoaji wake

Kmati ya kujifunza maishani mwote ya Queensland

ShIrika mama kwa masomo ya watu wazima katika Queensland. Inatoa mwongozo kwa watu wazima na elimu ya jamii.

Muungano wa kusoma wa Queensland

Muungano wa vituo vya masomo vinavyolenga kuongeza nafasi za masomo kwa watu waishio mijini, vijini na mashambani Queensland.

Chuo cha Umoja kilimo cha Australia

Kinatoa mafunzo ya kilimo yanayojumuisha kozi fupi.

TAFE Queensland

Inatoa habari kuhusu vyuo na kozi za TAFE katika Queensland.

Mambo mengine ya kujifunzia ya jamii

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Queensland

Habari kuhusu mafunzo ya ufundi katika Queensland.

Umoja wa vituo vya jamii na msaada kwa familia

Ni muungano wa mashirika ynayohusika kutoa huduma kupitia vituo vya jamii, vituo vya ujiranimwema na huduma za msaada.

Vituo vya habari kwa wahamiaji

Centacare Cairns – Huduma za makazi kwa wahamiaji

Kituo cha Malezi ya Uchungaji ya Tamaduni mbalimbali

Nyumba ya Jamii ya Inala

Kituo cha Habari kwa Wahamiaji cha Logan na Beenleigh

Shirika la Kituo cha Wahamiaji

Migrant Resource Centre Townsville-Thuringowa

Migrant Settlement Program Wide Bay

Umoja wa Maendeleo wa Mount Isa

Umoja wa Maendeleo ya Tamaduni

Huduma za Jamii za Multilink

Kikundi cha Msaada wa Tamaduni cha Townsville

Huduma ya Habari kwa Wahamiaji ya West Moreton (Goonda Neighbourhood House)