South Australia
Toleo la PDF la ukurasa huu (7kb)
Kozi na watoaji wake
Watoaji wa Elimu ya Jamii kwa Watu wazima
Mwongozo wa watoa huduma ya elimu ya jamii ya watu wazima katika South Australia.
Umoja wa Vituo vya Jamii na Nyumba za Ujirani mwema
Unaorodhesha vituo kuhesabu katika South Australia.
http://www.canh.asn.au/centres--houses.aspx
Umoja wa Elimu ya Watu Wazima wa South Australia
Unaorodhesha vipindi vya kusoma katika South Australia.
TAFE SA
Tafuta kozi za TAFE katika South Australia, ikijumuisha kozi fupi.
WEA South Australia
Mtoaji mkubwa wa elimu ya jamii ya watu wazima, ikitoa karibia kozi fupi 1800 katika Adelaide.
Mambo mengine ya kujifunzia katika jamii
Wizara ya Elimu ya Juu, Ajora, Sayansi na Tekinolojia
Habari juu ya elimu ya jamii kwa watu wazima katika SA.