Western Australia

Toleo la PDF la ukurasa huu (6kb)

WA

Kozi na watoaji wake

Mafunzo WA

Habari kuhusu TAFE na elimu ya jamii katika WA, ikijumuisha mwongozo wa kozi.

Vituo vya nyumba za ujiranimwema na mafunzo ya jamii

Learning Centre Link ni shirika mama na linatoa orodha ya vituo vyote katika Western Australia.

UWA Entension

Tawi la chuo Kikuu cha University of Western Australia linatoa kozi mbalimbali.

Vituo vya habari kwa wahamiaji

Kituo cha Tamaduni cha Fremantle

Kituo cha habari kwa wahamiaji cha mjini