Mkoa Mkuu wa Australia

Toleo la PDF la ukurasa huu (9kb)

ACT

Kozi na watoaji wake

Huduma ya jamii ya Belconnen

Inatoa huduma zinazojumuisha shughuli mbalimbali za elimu ya jamii kwa familia na watu binafsi.

Kikundi cha akina mama cha Brindabella

Kiko kwenye kituo cha jamii cha Chisholm, kinatoa masomo ya habari kwa wanawake wenye watoto wadogo.

Kituo cha jamii cha Calwell

Kinatoa huduma zinazojumuisha kozi na semina mbalimbali kukidhi mahitaji ya wakazi wa eneo.

Suluhisho kutoka CIT

Ni tawi la kibiashara la Canberra Institute of Technology linalotoa aina mbalimbali ya kozi fupifupi.

Kituo cha jamii cha Downer

Kinaendesha shughuli mbalimbali na vikundi vinavyolenga lugha, sanaa na ufundi, muziki na ngoma.

Kujifunza kwa Lake Nite

Inatoa kozi za jioni za sanaa na ufundi, biashara, kompyuta, afya na lugha kwenye chuo cha Lake Ginninderra kilichoko Emu Bank.

Kituo cha wanawake cha Majura

Kinatoa nafasi kwa wanawake walioko Canberra wakiwa nyumbani na watoto wao kuona na kuhusika katika shughuli za ubunifu na kutia moyo.

Kituo cha sanaa cha Tuggeranong

Kinaendesha masomo katika sanaa, kuunda, maigizo, musiki na michezo ya kuigiza.

Tuggeranong LINK

Inaendesha muungano wa nyumba tano za jamii katika eneo la bonde la Tuggeranong Valley.

Weston Brain Gym

Inatoa kozi za jioni katika eneo la Woden lililoko kwenye chuo cha Canberra.

Kumbukumbu nyingine za kujifunzia za jamii

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya ACT

Habari kuhusu msada unatolewa na serikali ya ACT kwa elimu ya watu wazima na jamii.

Umoja wa watoa huduma za mafunzo

Mwanachama wa umoja anayewakilisha watoa huduma za mafunzo binafsi na jumuia katika Canberra na maeneo yanayozunguka.

Kituo cha habari kwa wahamiaji

Huduma za makazi kwa wahamiaji na wakimbizi waishio ACT