Northern Territory

Toleo la PDF la ukurasa huu (6kb)

NT

Kozi na watoaji wake

Mashirika ya Mafunzo yaliyoandikishwa

Orodha ya mashirika ya mafunzo yaliyoandikishwa yanayofanya kazi katika NT.

Chuo kikuu cha Charles Darwin

Chuo kikuu kinachotoa mafunzo ya kazi katika Northern Territory. Pie kinatoa kozi fupi.

Chuo cha Batchelor kwa elimu ya juu ya wazawa

Inatoa nafasi ya kusoma kwa wazawa na wazawa mchanganyiko katika kozi mbalimbali zinazolenga kuwasaidia kupata ujuzi na elimu inayotakiwa kutafuta kazi na kusaidia kuendeleza jamii zao.

Vitu vingine vya kujifunzia vya jamii

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Northern Territory

Habari kuhusu wiki ya shughuli mbalimbali za mafunzo kwa watu wazima katika NT.

Vituo vya habari kwa wahamiaji

Kituo cha wakimbizi cha Melaleuca

Huduma za Tamaduni za Jamii za Northern Territory