Tasmania

Toleo la PDF la ukurasa huu (6kb)

TAS

Kozi na watoaji wake

Elimu ya watu wazima Tasmania

Inaonyesha zaidi ya kozi 800 zilizoko katika Tasmania.

Vituo vya Kujifunzia vya Jamii na Nyumba za Ujirani mwema

Umoja wa Nyumba za Jamii wa Tasmanian unatoa mwongozo wa vituo vya Tasmania

Tasmanian Polytechnic

Mtoaji mkubwa wa mafunzo ya ufundi. Pia kinatoa utaratibu wa masomo ya msingi kwa wakimbizi.

Chuo cha Ujuzi Tasmania

Mafunzo ya ufundi katika Launceston.

Vitu vingine vya jamii vya kujifunzi

Wizara ya Elimu ya Tasmania

Mwongozo wa habari za elimu ya jamii katika Tasmania.

Skills Tasmania

Habari kuhusu msaada wa serikali kwa elimu ya ufudi na mafunzo katika Tasmania.

Vituo vya habari kwa wahamiaji

Kituo cha habari kwa wahamiaji (Tasmania ya Kaskazini)

Kituo cha habari kwa wahamiaji (Tasmania ya kusini)