Victoria

Toleo la PDF la ukurasa huu (10kb)

VIC

Kozi na watoaji

AMES

Mtoaji mkubwa wa lugha ya Kiingereza na huduma za makazi katika Victoria, AMES inatoa mafunzo katika malezi ya wazee, huduma za watoto, kufanya biashara na teknologia ya habari.

Vyuo vya jamii

Orodha ya vyuo vya jamii katika Victoria.

Umoja wa Elimu ya Watu Wazima (CAE)

Makao makuu yakiwa Melbourne CBD, CAE inatoa kozi fupi mbalimbali na masomo kwa watu wazima kumaliza elimu ya sekondari.

Nyumba za ujirani mwema na vituo vya kusomea

Mwongozo wa nyumba za jamii katika Victoria.

Ujuzi Victoria

Habari juu ya elimu na mafunzo. Inajumuisha mwongozo wa kozi na watoaji wake.

Mwongozo wa Kozi zaTAFE

Tafuta kozi za TAFE katika Victoria.

Umoja wa Elimu ya watu wazima na Elimu ya Mwanzo ya Victoria

Inaorodhesha kozi za kusoma na watoaji wake katika Victoria.

Vitu vingine vya kujifunzia vya jamii

ACEVic

Shirika mama kwa watoaji wa elimu ya jamii na watu wazima katika Victoria.

Bodi ya Watu Wazima, Jamii na Elimu ya Juu

Inafanya kazi ndani ya Wizara ya Mipango na Maendeleo ya Jamii kuendeleza maendeleo ya mtu na jamii kupitia mafunzo.

Victoria Mtandao

Inaorodhesha habari za serikali ya Victorian kwa elimu ya jamii na watu wazima.

Vituo vya habari kwa wahamiaji

Diversitat

Huduma za Tamaduni za Gippsland

IKituo cha habari kwa wahamiaji cha nner Western

Kituo cha habari kwa Wahamiaji (Melbourne Mashariki)

Kituo cha habari kwa wahamiaji Kaskazini Magharibi

Mfuko wa New Hope

Phoenix Westage Kituo kwa wahamiaji

Kituo cha Habari kwa Wahamiaji cha Kusini Mashariki

Kituo cha habari kwa wahamiaji cha Spectrum